WAKILI TV
WAKILI TV
  • Видео 1 389
  • Просмотров 1 715 787

Видео

BASATA Uso kwa Uso na Wasanii Kujadili Suluhu ya Haki za Sanaa Nchini
Просмотров 362 часа назад
#ijuesheria
Uchechemuzi wa Mjumbe wa Kamati ya Katiba na Sheria TLS Upatikanaji Katiba Mpya
Просмотров 34114 часов назад
Uchechemuzi wa Mjumbe wa Kamati ya Katiba na Sheria TLS Upatikanaji Katiba Mpya
Mdau: Tuanze na Nchi Kwanza Ndipo Katiba Ifuate
Просмотров 51814 часов назад
#ijuesheria #katibampya #constitution
TLS na TARO Kuja na Mwarobaini wa Haki za Wasanii Nchini
Просмотров 8116 часов назад
#ijuesheria
Kuzimwa Mtandao Kipindi cha Uchaguzi 2020 Wanaharakati Watahadharisha Kujirudia
Просмотров 23921 час назад
#ijuesheria #uchaguzimkuu #election
Sikiliza Hoja za Muungano Moto Mchakato wa Upatikanaji Katiba Mpya
Просмотров 2,3 тыс.21 час назад
#ijuesheria #katibampya #constitution
Kigogo CHADEMA: Rais Samia Alikua na Nia ya Kupata Katiba Mpya
Просмотров 4 тыс.День назад
Kigogo CHADEMA: Rais Samia Alikua na Nia ya Kupata Katiba Mpya
Mdau na Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Просмотров 549День назад
Mdau na Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Kiongozi wa ACT Wazalendo Afunguka Mchakato Upatikanaji wa Katiba Mpya
Просмотров 876День назад
Kiongozi wa ACT Wazalendo Afunguka Mchakato Upatikanaji wa Katiba Mpya
Kwanini Katiba Mpya ni Sasa? Wanawake
Просмотров 270День назад
Kwanini Katiba Mpya ni Sasa? Wanawake
Katiba Itamke Wazi Uwakilishi wa Watu Wenye Ulemavu Isiwe Hisani - Abdulaziz Shambe
Просмотров 91День назад
Katiba Itamke Wazi Uwakilishi wa Watu Wenye Ulemavu Isiwe Hisani - Abdulaziz Shambe
Kifo cha Daudi Mwangosi Chawaibua TARO Jinsi Sanaa Nchini Ilivyo Mlinzi wa Haki za Binadamu
Просмотров 35514 дней назад
Kifo cha Daudi Mwangosi Chawaibua TARO Jinsi Sanaa Nchini Ilivyo Mlinzi wa Haki za Binadamu
Mwanafunzi Law School Aiburuza Serikali Mahakamani Tatizo la Ajira kwa Wahitimu
Просмотров 1,8 тыс.14 дней назад
Mwanafunzi Law School Aiburuza Serikali Mahakamani Tatizo la Ajira kwa Wahitimu
Jukwaa la Katiba Watoa Tamko Sheria za Uchaguzi 2024, Mazuri na Mapungufu Yake
Просмотров 6 тыс.14 дней назад
Jukwaa la Katiba Watoa Tamko Sheria za Uchaguzi 2024, Mazuri na Mapungufu Yake
Nondo za Rais Mstaafu TLS Upatikanaji wa Katiba Mpya
Просмотров 5 тыс.14 дней назад
Nondo za Rais Mstaafu TLS Upatikanaji wa Katiba Mpya
Hoja za Watu Wenye Ulemavu Katika Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Просмотров 10814 дней назад
Hoja za Watu Wenye Ulemavu Katika Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Deus Kibamba Afafanua Mabadiliko 14 ya Katiba ya Tanzania ya 1977 Mpaka 2005
Просмотров 55614 дней назад
Deus Kibamba Afafanua Mabadiliko 14 ya Katiba ya Tanzania ya 1977 Mpaka 2005
Wakili Matojo: Hata Ungepewa Haki Elfu 1 Kama Huna Mahakama za Kuzilinda ni Bure
Просмотров 67314 дней назад
Wakili Matojo: Hata Ungepewa Haki Elfu 1 Kama Huna Mahakama za Kuzilinda ni Bure
Tanzania Matetea Wengi na Zanzibar ni Majogoo - Chief Mwambipile na Katiba Mpya
Просмотров 2,7 тыс.14 дней назад
Tanzania Matetea Wengi na Zanzibar ni Majogoo - Chief Mwambipile na Katiba Mpya
Hoja za Diaspora Mchakato wa Upatikanaji Katiba Mpya
Просмотров 44214 дней назад
Hoja za Diaspora Mchakato wa Upatikanaji Katiba Mpya
Sugu Asimulia Alivyonyimwa Rufaa na Jaji, Ahimiza TLS Kuchochea Upatikanaji Katiba Mpya
Просмотров 8 тыс.14 дней назад
Sugu Asimulia Alivyonyimwa Rufaa na Jaji, Ahimiza TLS Kuchochea Upatikanaji Katiba Mpya
Zanzibar Ikikunjua Makucha Inalazimisha Katiba ya Jamhuri Kutazamwa Upya - Kibamba
Просмотров 2,9 тыс.14 дней назад
Zanzibar Ikikunjua Makucha Inalazimisha Katiba ya Jamhuri Kutazamwa Upya - Kibamba
Sakata la Mauaji ya Watu Wenye Ualbino Wakili Maduhu Amuangukia Rais Samia Kuingilia Kati
Просмотров 18914 дней назад
Sakata la Mauaji ya Watu Wenye Ualbino Wakili Maduhu Amuangukia Rais Samia Kuingilia Kati
Fahamu Taratibu za Kufungua Mirathi na Upatikanaji wa Msimamizi Wake
Просмотров 11621 день назад
Fahamu Taratibu za Kufungua Mirathi na Upatikanaji wa Msimamizi Wake
Hoja za Wakili Nguli Alute Mughwai Juu ya Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Просмотров 6 тыс.21 день назад
Hoja za Wakili Nguli Alute Mughwai Juu ya Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Rais Mstaafu TLS Afunguka Ubora na Udhaifu wa Katiba Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya
Просмотров 1,4 тыс.21 день назад
Rais Mstaafu TLS Afunguka Ubora na Udhaifu wa Katiba Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya
Hoja za Kiongozi wa Dini Juu ya Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Просмотров 1,4 тыс.21 день назад
Hoja za Kiongozi wa Dini Juu ya Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya
Hoja za Mjumbe Kamati ya Katiba na Sheria TLS Juu ya Mchakato wa Katiba Mpya
Просмотров 1,1 тыс.21 день назад
Hoja za Mjumbe Kamati ya Katiba na Sheria TLS Juu ya Mchakato wa Katiba Mpya
Dkt. Mandi Asimulia Mwl. Nyerere na Mchakato wa Katiba na Mkwamo Wake
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
Dkt. Mandi Asimulia Mwl. Nyerere na Mchakato wa Katiba na Mkwamo Wake

Комментарии

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 10 часов назад

    NAOMBA NAMBA YAKO WAKILI

  • @user-xe8xv6so6s
    @user-xe8xv6so6s 13 часов назад

    Waandishi Sasa mnatenda haki. Watu wanaonekana😂😂

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 20 часов назад

    👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 День назад

    Wame uwa watu wengi sana ao ccm Imefika mwisho wao. Wanatu danganya huku tunajua Ama hawa hawana Aibu wala adabu.

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 День назад

    Wakili msomi Yuko kazini

  • @eliassumila8173
    @eliassumila8173 2 дня назад

    Nampongeza Wakili kiratu Na wengine pia

  • @eliassumila8173
    @eliassumila8173 2 дня назад

    Moderator umeeleza vizuri sana,mwanaume haeezi vaa gauni Akawa mwanamke.nk

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 2 дня назад

    Hakuna maoni yameondolewa sema wamepost vipande tofauti tofauti fuatilia post myimgine mtaona wapendwa wadau

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 3 дня назад

    Hamkunitendea haki maoni yangu yote ya mwanzoni yalimutiwa

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 3 дня назад

    Mbona mpimute maoni yangu jamani😢😢

    • @ArchetypalType
      @ArchetypalType 2 дня назад

      Pale mtu anaposema mchakato uanze na wakati ule ule anasema elimu ipelekwe hadi vijijini anakuwa na tofahuti gani ka Samia anayetaka elimu itolewe kwa miaka mitatu? Hakuna Mtanzania hata wa kijijini ambaye hali umuhimu wa kuwa na katiba nzuri inayoweka namna bora ya kijitawala. Kwani wananchi wote wanajua umuhimu wa Rais wa nchi na kazi zake?Mbona kila baada ya miaka mitano wanachagua viongozi?

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 3 дня назад

    Mbona hatukusikika

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 3 дня назад

    Hongereni sana waandaaji wa mjadala huu

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 3 дня назад

    Kama mnadhani ccm itawapa katiba mpya kwa mazunguzo mtasubili sana.

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re 3 дня назад

    Watanzania tuamke mbona ràisi wa kenya amesikia kilio cha wananchi wake kwa nini raisi wetu hasikii kilio cha watanzania

  • @StephenChama-nh2vr
    @StephenChama-nh2vr 3 дня назад

    Uwu muungano Bora uvunjike sisi atuoni faida yoyote

  • @josephbundala1475
    @josephbundala1475 3 дня назад

    Waache wajadili kwa kuwa wanaonekana kujali. Wangeweza kutofanya chochote. Acha hasira, panapozungumzwa juu ya mambo, hapaharibiki neno. Subira yavuta kheri baba zangu na mama zangu, ahsanteni.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 дня назад

    Kwani hapa watu hawauani? Nakubaliana sana hizi mbili 1. Muafaka 2 Makubaliano Hii ya kwetu unawapima waliyo iandika na kwa vile walihusika kuwa ni tunatawaliwa kwa matamko ya mtawala

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 дня назад

    Hii midahalo kuanzia mikutano zilizofanyika KATIBA ya Warioba mpaka leo bado CCM wanataka hiyo KATIBA inayo mweka mbele Raisi tu. Hivi haingii akilini ati tuko watu zaidi 60 million bado mnang'ang'ania KATIBA ya Raisi tu. Sasa huu ni utumwa?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 дня назад

    Hivi kwa nini hakuna kinafanyika hata baada ya kuongea sana kuwa hili likatiba lina matatizo mengi na athali mpaka sasa hakuna kinachofanyika?

  • @user-pn8vz2jv3h
    @user-pn8vz2jv3h 4 дня назад

    😅😅😅😅😅😅👍

  • @zakayocharles2328
    @zakayocharles2328 4 дня назад

    ❤ 19:50 ❤❤❤❤❤

  • @marystellah4532
    @marystellah4532 5 дней назад

    Rubbish

  • @frankemmanuel6063
    @frankemmanuel6063 5 дней назад

    Kaongea kitu cha msingi sana, tutatue swala la muungano kwanza, aiza ipitishwe referendum, watu tupige kura ni aina gani ya Muungano tunataka, sio wote tunapenda serikali tatu, wengine moja, kwa vile hii ni nchi ya kidemokrasia, itajulikana aiza iwe jamhuri moja, muungano wa serikali mbili au shirikisho la serikali tatu, baada ya hapo ndiyo katiba itarekebishwa kulingana na msingi uliowekwa, naona jibu la swali la muungano ni la muhimu sana, ndiyo msingi wa katiba inayohitajika.

  • @FurahaJeremiah-kd5ht
    @FurahaJeremiah-kd5ht 6 дней назад

    Tanganyika sets kuliongoza taifa.raisi ashitakiwe mikataba yote iende bungeni mawazili waendane na taaluma zao

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 6 дней назад

    Ni upumbavu na wendawazimu kwa nchi ya Tanganyika yenye ukubwa mara 385 ikilinganishwa na Zanzibar eti kuwa na haki sawa. haki gani kulinganisha mahitaji ya tembo na mbu! Msipokuwa realistic, ntaendelea kupotezana muda kutwanga maji.

  • @iddiadam857
    @iddiadam857 6 дней назад

    Mi naona sio saw kumfukuza daktari au engineer aliyefanya kazi miaka 10 ana uzoefu na kuweka fresh from school kutakuwa na utowaji huduma mbovu sana frequency make perfection

  • @faustinebahenobi3412
    @faustinebahenobi3412 6 дней назад

    Pumbavu kabisa ww mgonjwa

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 6 дней назад

    Katika watu wote niliowahi kuwasikia huyu ameongelea kitu cha msingi. Bila kila nchi kujadili yenyewe inataka Muungano au la ikiwa nchi zote jibu ni ndio, hapo ndio tujadili tunataka katiba yetu iwe je. Vinginevyo ni kujidanganya na HAIWEZEKANI kupata Katiba mpya.

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 6 дней назад

    we nimjinga kwel

  • @matiredms917
    @matiredms917 6 дней назад

    Wewe nyamaza hujui unachosema. Unarudisha nyuma hoja ya msingi.

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 6 дней назад

    Katiba inayoongelewa ni ile ilokusanywa maoni na tume ya Warioba,usipoteze lengo😂

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 6 дней назад

    Unaumwa mavi wew tume huru ni sas

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 6 дней назад

    Nchi zipo ni Tanganyika na Zanzibar Katiba ni ya chama kimoja bado. Hakuna katiba baada ya vya ma vingi.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 7 дней назад

    WAO WAO!! ASSNTENI SANA TLS KUENDELEA KUWAFANYA WATANZANIA WATAMBUE HAKI ZAO💪💪💪💪

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 7 дней назад

    Wakili TV mnatunyima uhondo hamsikiki

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 7 дней назад

    Mbona hamsikiki

  • @Sr.BasilisaPanga
    @Sr.BasilisaPanga 7 дней назад

    Tunaomba watoa mada wajitambulishe jina, taaluma mahali unatoka

  • @goodsonlucian2906
    @goodsonlucian2906 7 дней назад

    Kwa mawasiliano

  • @user-ex9gt9np8i
    @user-ex9gt9np8i 7 дней назад

    Nakupongeza Kaka yangu tukopamoja🙏

  • @willygwaikana
    @willygwaikana 8 дней назад

    Uhalali wa CCM ni kule kuwa chama kilicho madarakani, wala haijalishi kinakiuka au kinatenda sawa na katiba. Uhalali wa utendaji wa CCM ni kutenda kwa kadri ya madaraka. Kibaya knachotendwa na CCM, kikitendwa na upoinzani ni kosa kubwa. Lakini nachelea pengine hata wapinzani nao wakiingia madarakani nao watajimilikishia uhalali wa kutenda uovu wakilindwa na mihimili ya dola na wananchi wasiofikiri. Ijapokuwa si vyema kuhukumu wapinzani kabla hawajathibitika utendaji kama wanavyothibitika CCM. Ni zama za giza ambapo wanasiasa wa leo hawawezi kuwa kama wa zamani. Tumefika mahali ambapo hata viongozi wa dini wa leo sio kama wa zamani, na pia jamii kwa ujumla. Tumepotoka sana kimaadili na desturi njema machoni pa Mungu. Na ndio maana tunapata viongozi waovu sawa na uasi wetu dhidi ya Mungu. Sasa wapinzani wa maagizo ya Mungu ndio viongozi ambapo wanawatii wazungu kuliko Mungu asemavyo. Haki za binadamu zinazopingana na haki ya maagizo ya Mungu ndio haki zetu. Majanga yatazidi kuongezeka kadri tunavyozidi kuzama kwenye haki za uasi - Isaya 24:1-20

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 8 дней назад

    We mzee yaani ndiyo unajifagilia ili upate urasi nani akuchaguwe uwe Rais ni mama Samia Suluhu Hasani sasa hivi hatutaki Rais mwanaume ujuwe hivyo

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y 8 дней назад

    huyu Mze anaishi nchi gani???? wananchi walitoa maoni kwa miaka 2 yakawalishwa na Mzee Warioba serikali ikayakataa inakuwaje hayajui haya?? suala la katiba mpya limekuwa likipingwa na seriakli ya CCM toka mwaka 1992, vikao semina makongamano na mikutano mingi imefanyika wananchi na wataalam wametoa mawazo yao lakini mpk leo hakuna kilichofanyiwa kazi na serikali ina maana huyu Mzee hayajui haya???

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 8 дней назад

    Sio wote matetea Mzee! Hao machawa wa mama ndio matetea. Tanganyika bado yapo majogoo bana!!!😂

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 8 дней назад

    Huu Muungano usiporekebishwa sasa na watu tuliowaona waasisi wake kuna siku hawa ambao wanasikia sauti zao tu watauvunja kirahisi sana. Ni vema sisi tukarekebisha kutokana na maoni ya wananchi yaliyoratibiwa na tume tulizoziunda sisi kuliko kusubiri muda mbaya wa mfarakano mchungu.

  • @hakiyangu
    @hakiyangu 8 дней назад

    Mama Samia chukua chako mapema alafu tuachie hawa watanganyika ccm wapuuzi tupambane nao wenyewe, hata haka kamuungano hata wewe hukapendi kavunje tu alafu ulale mbele urudi kwenu zanzibar.

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 8 дней назад

    NYERERE NA KATIBA MPYA LENGO la Julius Nyerere kuiburura ZANZIBAR na ILANI ya CHAMA CHA MAPINDUZI kulinda MUUNGANO ni tatizo kubwa la KATIBA MPYA.

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y 8 дней назад

    CCM as a political party is a prince of darkness

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 8 дней назад

    👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 8 дней назад

    Jamaa ni lecturer labda mtu awe bogus wa akili ndio hawezi kumfahamu vichwa tunavyo Tanzania

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 8 дней назад

    Ni vizuri mkatuandikia jina la mzungumzaji na wadhifa wake, asanteni

    • @nkwazigatsha
      @nkwazigatsha 6 дней назад

      Hili ni tatizo la wandishi wetu wanaodandia hoja za watu kutafuta umaarufu huku wakiwadhulumu kwa kutofanya hata referencing. Ni tatizo la ukosefu wa elimu na maadili ya kitaaluma. Huu ni wizi wa kitaaluma na uvunjaji maadili. Ukifanya hivi Marekani, utafilisiwa tu mbali na kupigwa marufuku.